Hi baby (Hey) Nina story ilonikwaza (Talk to me) Tena leo hii (Mmhh) Kuna mtu kanieleza Huishi story Kimekukwaza nini basi nieleze Kwa upole Sema nami moyo wako usiumize Sikuile, (Ahaa) Ukasema unakwenda na rafiki Kwenye kitchen party (That's right) Hata mie, Nilitoka nikapiga simu yako Nikawa sikupati Simu yangu (Mmmh) Sikumbuki kama nilikwenda nayo Mume wangu Tuna mambo mengi achana na hayo So, umeniona mjinga? No, sijasema mjinga So, umeniona mjinga? No, sijasema mjinga Kumbe? (Wala!) Nini? (Ah ah!) Au nimekosa kukuuliza? (No no no no no!) Baby this is serious Wala mi sifanyi utani (Tell me) Wangu Wa ubani Sina mwingine kwangu ni wewe Nakupatia (moyo wangu) Nafurahia (penzi lako) Wangu Wa ubani Sina mwingine kwangu ni wewe Nakupatia (moyo wangu) Nafurahia (penzi lako) Natamani Nipate uwezo nikufungulie moyo wangu Uone baby Ni jinsi gani nakuhitaji nakupenda Nakuthamini Uuh, nami sijiwezi kwa hilo penzi lako Uuh, kwa uzuri wako nahisi naweza ibiwa Wengi wanasema, Uuuuh baby Furaha yao watutie machungu, uuuuh Kidogo cha leo, kikubwa cha kesho Amini kati yetu kuna kitu special Usiniache Hata kama nimekukwaza Nieleze baby My love Nitakupa milele Una nafasi kwangu Tena ya pekee eeeh Wangu Wa ubani Sina mwingine kwangu ni wewe Nakupatia (moyo wangu) Nafurahia (penzi lako) Wangu Wa ubani Sina mwingine kwangu ni wewe Nakupatia (moyo wangu) Nafurahia (penzi lako) Wangu Wa ubani Sina mwingine kwangu ni wewe Nakupatia (moyo wangu) Nafurahia (penzi lako) Wangu Wa ubani Sina mwingine kwangu ni wewe Nakupatia (moyo wangu) Nafurahia (penzi lako)