Kishore Kumar Hits

Mimi Mars - Come on Over lyrics

Artist: Mimi Mars

album: The Road


Your my ringtone
Me kwako sipindui niko Pindo
Nimekaza nasipoi kama Fundo
Mateka goi goi kwenye lindo
Your my ding dong
Me kwako niko hoi yani simple
Me ndo Queen we ndo King kwenye kingdom
Kwa wengine me sitoi sina mingo
Wataka nini leo utapata
Niko high nishawaka
Kwenye kosa nishaweka pata
Nizungushe kwa ufundi nataka
Na utuli mbabata
Nyuki kwa asali nafata
Shubidaba penzi nidonoe
Kitanga mpaka nikohoe
Mwumba kapanga baba unioe
Karanga tamu kumenya
Napata hamu ukinena
Nakosa Raha unikununa
So baby come on over
And pull me closer
I put my spell on yah
Mvinyo wa Mahaba nileweshe
Kiwanja nichezeshe
Nilainike niwe tepe tepe
Fadhila za punda ni mateke
Kwa mikiki na makeke
Wanafiki wadananda watukwepe
Kwa Haya wakichoka watupepe
Oh sasa bamiza (kaza kwa nga nga nga)
Oh sasa bamiza (yani swadata)
Oh sasa bamiza (kwa ba ba ba)
Una macho ya uwizi uwizi (original)
Body shape la kitizi (physical)
Kwa kuhandle upo fiti (Professional)
Ibiza tukabarizi (tukajivinjari)
Wee ndo fundi wa raha hizi (ni hatari)
Nimepagawa kama chizi
Karanga tamu kumenya
Napata hamu ukinena
Nakosa Raha unikununa yeah
So baby come on over
And pull me closer
I put my spell on yah

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Ex

2019 · single

Similar artists