Kishore Kumar Hits

Boutross - Wizo Man lyrics

Artist: Boutross

album: Mawingu


Meno ni silver like Wizo man
Beef kwenye table is sizzling
Nadeliver like the pizza man
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow (snow)
But yangu haikatwi na ritalin (yeah)
Cheki hiyo mbogi ina go (go)
Cheki vile mbogi ina go (go)
Meno ni silver like Wizo man
Beef kwenye table is sizzling
Nadeliver like the pizza man
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow (snow)
But yangu haikatwi na ritalin (yeah)
Cheki hiyo mbogi ina go (go)
Cheki vile mbogi ina go (go)
Ushaiona meno inaglisten
Kifua ina ma cling cling cling cling
Gelato ndio mimi na stink
Kwa hiyo amiri na jale ya mawinch wich
Hiyo uso umedunga ni vintage
Ushaitry kuipaka the vaseline
Hizi vibe una leta ni tricky
Nyi ndio huvuta manyasi kwa picnic
Hii ngoma ina essence ya wizkid
Chibalonza na gospel ya big pin
Wakinichocha nawachukulia meeting
Nawachukulia choma na whiskey
Chinchilla imenifika hadi chin chin
Vile snow inanipiga baridi
Kuna kitu inashine kwa hizo teeth teeth
Hadi nashindwa kubonga vifiti
Meno ni silver like Wizo man
Beef kwenye table is sizzling
Nadeliver like the pizza man
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow (snow)
But yangu haikatwi na ritalin (yeah)
Cheki hiyo mbogi ina go (go)
Cheki vile mbogi ina go (go)
Meno ni silver like Wizo man
Beef kwenye table is sizzling
Nadeliver like the pizza man
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow (snow)
But yangu haikatwi na ritalin (yeah)
Cheki hiyo mbogi ina go (go)
Cheki vile mbogi ina go (go)
Alililianga vitamin
Saa hiyo sikuwa hata na single man
Ngori ilimfuata na vita man
Juu mbogi iliswallow the single ten
Walinikatianga hata stima then
Fuse nikarudisha kwa meter man
Wanathani mi mjinga yeah
Sherehe haiwezi katika man
Kijana ameshikilia city
Nikuchoche ati mimi si ringi
Pilipili inakuashia nini?
Vile ulikula hizo vitu vi greedy
But mbeibe alitry kunishika man
Nikamwambia baby I'm innocent
But vile ngeus aliniita tena
Nilimpiga hiyo smile ya adolescence
Meno ni silver like Wizo man
Beef kwenye table is sizzling
Nadeliver like the pizza man
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow (snow)
But yangu haikatwi na ritalin (yeah)
Cheki hiyo mbogi ina go (go)
Cheki vile mbogi ina go (go)
Meno ni silver like Wizo man
Beef kwenye table is sizzling
Nadeliver like the pizza man
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow (snow)
But yangu haikatwi na ritalin (yeah)
Cheki hiyo mbogi ina go (go)
Cheki vile mbogi ina go (go)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists