Kishore Kumar Hits

Boutross - Fahak It lyrics

Artist: Boutross

album: Mawingu


Kama ule wa Metro Boomin'
Yeah eey wooh aha
Sheesh yeah aha wooh yeah eey
Yeah
Niliamka early in the morning
Niko sandwiched na ka bad bitch and her bad bitch
Juu ya mattress on the attic like what's happening
All I remember usiku ilikuanga ni ratish juu ya ratish
Then a ratish tena ratish tena ratish, eey
Niliamka early in the morning
Niko sandwiched na ka bad bitch and her bad bitch
Juu ya mattress on the attic like what's happening
All I remember ni usiku ilikuanga ni ratish juu ya ratish
Then a ratish tena ratish on a ratish
Aha woo
Aha ooh shit
Usikam na hizo story za going
Vile bash imeshika nkoroi
Kama ule wa Metro Boomin'
Yeah yeah yeah yeah
Bado yeah bado tena endelea
Yeah yeah
Uwongo lazima nikichoma like baby iyo kuku umepika ni proper
Someone is rolling awkward vile iyo meno nagrind ka sawdust
Ngeus anadai nimekonda sawa we umeunga kama Conan
Rubber lazima nikidunga unathani mbona earring huvaliwa na stopper
Usikam na hizo story za going vile bash imeshika nkoroi
Aaah fahak it, mwaga iyo bottle ya Moet
Msee anakula kinyaru, someone else phone is stolen
Aaah fahak it, tutajua iyo story in the morning
Unaweza dhani iyo kikombe imejazwa vile msela anabonga anachocha
Alisema amevuka mpaka, kumbe walibakingi dormant
Mi naingia form zimeshika nakatia mamas wa boy hujifanya
Nampiga kiswahili lotus, after namdinya kwa sofa
These days nasmile ka joker, kwa city nageuka Gotham
Aaah fahak it, azi nichafue hadi molar
Tisini iliendanga kwa mbota, na bado hiyo kitu nilitokwa
Aaah fahak it, version mpya imetoka
These days nasmile ka joker, kwa city nageuka Gotham
Aaah fahak it, azi nichafue hadi molar
Tisini iliendanga kwa mbota, na bado hiyo kitu nilitokwa
Aaah fahak it, version mpya imetoka

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists