Kishore Kumar Hits

Boutross - Woo lyrics

Artist: Boutross

album: Woo


Yeah, woo,yeah yeah ey
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo (Cheki)
Sipendi hizo risto za five star food huserviwa mara saba
Hiyo jale umedunga ni mbaya
Kwani hiyo mali ni ya ulaya?
Huyu rapper anasema experience, studio ameingia mara saba
Kijana wa pampers hadi kahawa anakunywanga star bucks
Nilijifanya nakatia huyo mwarabu, kumbe nimemkulisha waba
Alikuja kwa game ya real amedunga ati jersey ya barca
Kuna time nilidate dame alikuwa anazitoka kwa Bablas
Time nilikuwanga nachizi ngeos alikuwa anazirusha vibaya
Wanasema ati me chipukeezy bila hiyo story ya Kibanja
Hamna kujifanya kama hiyo picha ina nyoka vibaya (nyoka vibaya)
Alisema anakindanga kilo na kumbe huyo boy anajuana
After hiyo make up umepaka, niaje bae unakaanga dimanga?
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo (pole sana)
Woo Woo Woo (bruh ni dimanga)
Woo Woo Woo (why you here)
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo (pole sana)
Woo Woo Woo (yeah yeah)
Nimepiga hiyo mwaka na bado imerudi na bado me ndio naitwa mbuzi
Alidai nipige hiyo paka kwa parking,ka yeye ni lilian Muli
Unadai nimekuweka kwa shadow na wewe bado ndio ulililianga kivuli
Alishaanza kubonga vibaya, nalupiga hiyo mbata ah Stupid!
Kudate ngeos mlami ni hard, huyu ngeos alikam na miniscuti
Hadai nikule mayai, napigwa the juice na hoe asubuhi
Juu ana fit fitness, channel alianza juzi
Ana thick thicknress daktari alimjenga vizuri
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo (pole sana)
Woo Woo Woo (bruh ni dimanga)
Woo Woo Woo (why you here)
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo
Woo Woo Woo (yeah yeah)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists