I say Mr don't keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Ni normal msela kuwa different Uovu wa maneno utapita I say Mrs don't your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Mbona waogopa kuwa different Chuki ni tofauti ya kutishwa Ushaiambiwa na msee hauwezi ukaweza Ushaiambiwa na msee hautaenda ukatenda Mindset different talanta haishindi effort Mawe itakuumiza maneno haiwezi kunja meko The pressure inakupanda unakashifu hadi mother Juu flani ako Dubai na flani ako Sankara Unalilia ukiwa jiji ukicheka mtu wa moshatha Unasahau kusema asante uliamka after kulala Shida ni nini? Shida depression inatamba eey Tufanye nini Murder self hate haraka eey Shida ni nini? Shida kuendanga matanga eey Tujue ni nini Mola anajua kenye anafanya I say Mr don't keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Ni normal msela kuwa different Uovu wa maneno utapita I say Mrs don't keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Mbona waogopa kuwa different Chuki ni tofauti ya kutishwa Mi si mspecial mi pia nilikua na thoughts Labda ningedo kitu different juu bado sijapop Then nilianza makali nightlife ikakuwa habit Nikaanza kusnort same time ninapop But haikuitwa emptiness ilitolewa na talk Haikutoa hizo nyoka zilikua around zinacrawl Ilinipeleka deeper deeper deep kwa darkness Absence ya reality ikakuwa comfort ya mattress Sai cheki state vile Bouty anawalk Akili niliishinda mi huwachanga wanatalk Niligeuka builder nikaangusha walls Sai mi ni winner yeah I walk the talk I say Mr don't keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Ni normal msela kuwa different Uovu wa maneno utapita I say Mrs don't keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Mbona waogopa kuwa different Chuki ni tofauti ya kutishwa I say Mr don't keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Ni normal msela kuwa different Uovu wa maneno utapita I say Mrs don't keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Mbona waogopa kuwa different Chuki ni tofauti ya kutishwa