Kishore Kumar Hits

Boutross - Us lyrics

Artist: Boutross

album: 6ixviewsii8k (Deluxe)

Baby shake hiyo a (a) itabidi mimi nimetouch (touch) Nina para za wa Ras (
Ras) zangu zimeshika juu ya shash (shash)
Ukishake hiyo a (a) itabidi baby nimetouch (touch) una para za uthas (thas) ilibaki nimetoa tax (tax)
Nineteen na umesimama kama anteen na umezibeba Kama canteen come ivi let me whisper something maybe Leta nine inch hapo ndani (oooh) unapenda njaro za maras zangu zimesteady hazijarust na Niko na mapeddi wa mashash baby unaeza piga tu mapuff ntaspend ukishake hiyo ass
Ju mi ni mluhya hawa madame me huwakunywa ka chai wale wasmart Kama phone ama tv ya sai napekejeng haka kapeng hapa nyuma ya ndai Leo ni matisho na majeans Hakuna Mambo ya tie (aii) fom yetu ibaki minimal usiwai acha nje ikue visible usiwai acha blogger aieke digital we shake tu but wife asijue though
Dope-I-mean (Chorus)
Baby shake hiyo a (a) itabidi mimi nimetouch (touch) Nina para za wa Ras (
Ras) zangu zimeshika juu ya shash (shash)
Ukishake hiyo a (a) itabidi baby nimetouch (touch) una para za uthas (thas) ilibaki nimetoa tax (tax)
Jegi ka nifiti mi natouch zangu zimeshika ju ya kuroria Haram pull up na mavela na mbogi ya Karam maboy wakipita na mangoko Haram
Aye) kudoz dash ooh fom ni mangeus na mashash shawty amebeba kaa kilograms Salasa so Leo ni mafeelings na makundule za trust, Cheki hiyo haga inatoshana na trela shawty hutingishanga nyumba kijulius malema alitry kunitoka na jokes za kartelo lakini mi kiswahili ni Mambo mbotela so
Baby shake hiyo a (a) itabidi mimi nimetouch (touch) Nina para za wa Ras (
Ras) zangu zimeshika juu ya shash (shash)
Ukishake hiyo a (a) itabidi baby nimetouch (touch) una para za uthas (thas) ilibaki nimetoa tax (tax)
We ni athuthu ama Niko madudu na ka ni chura Buda kunywa kanuthu, we ni wa buru Toto si ufike huku, we ni poko na unapiga nduru guza kwa nyondo
Ngeus cheza na guru si unang'oa madam na uko kutu, me ndio ule kijana mtukutu fika area madam ukunywe supu Nina njugu kiroma ndio nashuku Nina rungu madam si utapupu Nina ngoko hapa sitaki kuku mi ndio mwode hapa Leta mbuku
Baby shake hiyo a (a) itabidi mimi nimetouch (touch) Nina para za wa Ras (
Ras) zangu zimeshika juu ya shash (shash)
Ukishake hiyo a (a) itabidi baby nimetouch (touch) una para za uthas (thas) ilibaki nimetoa tax (tax)
A (a) a (a)
Touch (touch) touch (touch)
Ras (
Ras) Ras (
Ras)
Shash (shash) shash (shash)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists