Kishore Kumar Hits

Boutross - Story Ilianza lyrics

Artist: Boutross

album: 6ixviewsii8k (Deluxe)


This (ooh, ooh, yeah)
(Vile nilipatwa) Yeah, yeah, yeah, yeah
Ooh, yeah, yeah (vile nilipatwa)
Yeah, yeah, yeah
Story ilianza like this (this)
Vile nilikutana na Peng (peng)
Haga ilikuwa legit (legit)
Jegi zilikuwa zinadance (dance)
So ilibidi nimechora (chora)
Vile chipo atachota (chota)
Kumbe huyu ngeus anachora(chora)
Vile Bouti atatokwa (yeah, yeah, ayee)
Ngeus alikuwa amepagawa (pagawa)
Ningejua hapa ni tafash (tafash)
Alispike up the liquor (ooh)
Hapa bado nikizama (nikizama)
Kichakani nilisaka (ooh)
Nikapata nikawinda (winda)
Mi ata sikuwa rada (sikuwa rada)
Nilianza tu kuzima (aye)
Shawty ran off with a laptop (laptop)
Chains na Bluetooth speaker
Then nikaenda kwa kitchen (kitchen)
Ata noodles aliiba (maze)
Buda ilibidi nimewasha (aaah)
Nitulie tu nikiwaza (waza)
Vile huyu ngeus ameshinda (shinda)
Anajua alimaliza (yeah, aye, aye)
Ata nikipiga hiyo mbana (mbana)
Mteja tu ndio mi naskia (prrprr)
Ngeus ametambulika (lika)
Mi nililalia maskio (mi nililalia maskio)
Buda nilijua nimepatwa (patwa)
Vile nilikuwa naona anasakwa (sakwa)
Ilibidi nimewasha (aye)
Niendelee tu nikiwaza (yeah, yeah)
Story ilianza like this (this)
Vile nilikutana na Peng (peng)
Haga ilikuwa legit (legit)
Jegi zilikuwa zinadance (ooh)
So ilibidi nimechora (chora)
Vile chipo atachota (chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (chora)
Vile Bouti atatokwa (ooh)
Story ilianza like this
Vile nilikutana na Peng (peng)
Haga ilikuwa legit (legit)
Jegi zilikuwa zinadance (heh)
So ilibidi nimechora (chora)
Vile chipo atachota (chota)
Kumbe huyu ngeus anachora(chora)
Vile Bouti atatokwa (aye)
Shida bouti alipewa hiyo duri vizuri
Bouti aliibonda (aye) Bouti hakuuliza mbona
Tumetoka hiyo dunda na dame hajachoka (aye)
Kumbe huyo ngeus ako maji ju saa sita ya usiku alitema mogoka (aye)
Vile nilikuwa mangwai hadi nilicheki huyo dame akidoze na toja
But usiku alivyochachisha shawty alipanda hadi kwa dirisha
Vile ananyonya anapandisha hakuna time mzae alilalishwa
Buda hiyo mduks inatisha so ata akisonga
Mi sikusoma ni ka mchele ilikuwa ndani ya cola
Ju nilichoma then nikabonda then kitanda ikabonga
Lakini kitandani usiku wa manane baridi ilikuwa inanigonga ju dem
Alitumia bedsheet kubeba njumu na nguo za gikomba (aye)
Dame alihepa na mali lakini aliseti bado nyongi moja
Ratchet intention, shawty imagine chenye aliniachia ni ngotha
Story ilianza like this
Vile nilikutana na Peng (peng)
Haga ilikuwa legit (legit)
Jegi zilikuwa zinadance (ooh)
So ilibidi nimechora (chora)
Vile chipo atachota (chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (chora)
Vile Bouti atatokwa (ooh)
Story ilianza like this (this)
Vile nilikutana na Peng (peng)
Haga ilikuwa legit (legit)
Jegi zilikuwa zinadance (heh)
So ilibidi nimechora (chora)
Vile chipo atachota (chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (chora)
Vile Bouti atatokwa (aye)
Story ilianza like this (this)
Vile nilikutana na Peng (peng)
Haga ilikuwa legit (legit)
Jegi zilikuwa zinadance (ooh)
So ilibidi nimechora (chora)
Vile chipo atachota (chota)
Kumbe huyu ngeus anachora (chora)
Vile Bouti atatokwa (ooh)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists