Kishore Kumar Hits

Boutross - Omoka lyrics

Artist: Boutross

album: 6ixviewsii8k (Deluxe)


Buda juu nime omoka
Nikipita kwa njia ondoka (Ondoka)
Daily na ball na mogoka
Ju nimekafunga ka locker (Locker)
Vera anaringa na planyo
Iza jo nimetambua Kwamboka (Kwamboka)
Bado unacheza na bano
Nipate casino mi huchezaga poker (Iyee)
Hii pesa imeniweka mbele Ndani ya gari so mi kadere (Kadere)
Unaringa na venye uko nyuma
Naeza kutuma na nisichafue Puma (Puma)
Msupa anaitwa Auma Nilikuslice na nikakauma (Woo)
Kumbe hupendaga chuma Alijinice, ye hufanya nanuna(Nuna)
Ati Vk anapenda your swag (Swagga)
Mi baby napenda hiyo nyuma (Hagga)
Niko na pesa kwa bag
Na zinaweza kutibu hapo mahali unaumwa (Umwa)
Usiku ye hapendagi giza (yeah)
Ndio maana mi hu-pullup na pizza (Huuh)
Kindom kiwake Alafu mastar unanimaliza (Unanimaliza)
Ju shot napiga ka chweza
Buda ju nimeomoka
Na fare silipagi chweza
Uber ju nimeomoka (Omoka)
Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeah yeah)
Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey)
Mi swagga ni ngori nakunywa madem We ni upige thafu uomoke
Toka tupate pia sisi toko yetu Tuliacha kutrap huko kwote
Vile tuna press more kama doom This end of topic maroaches
This is win and loses Street tunahawk
Tukitake Lots of risks for the bosses
East napumzika fiti Nika nimelala jela zote Embakasi
Rap mi ni mzazi Still, si ndo huponanga Milingo yote za wasafi
Mi hulala same ka kitambo Mzee mzima provider siwezi kuwa mrazi
Niliambiwa mi ni savage Kupanda stage na
Njumu za designer Store zote nina wafuasi
Last victim kwa crime Kitu waliona ni mashetani
Ju tulimkula, hashtag excellent Ilikuwa perfect timing
Eastlands mahali tunaishi Parents wanaburry their kids
Venye madem wako build these streets Memories zinanipea tease
Promoter alielewa kwa sana
Mi huwanga mavitu za kupunguza mastress
Naskia show ilikuwa lit Hata after kuunguza hiyo event
Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Omoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeah yeah)
Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey)
Buda jo niliondoka (Ondoka)
Nina shawty anadai bakora (Bakora)
Skimbi kumbe ako mboka
Dem aliniitia wakora
Pull up kejani
Ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja)
Buda nishashusha toja
Kumbe ukichinda maball itoka, buda niliporwa
Mtaani noma (Mtaani noma)
Bouty ilibidi nimesoma (Soma)
Vile nitalindaga boma (Boma)
Hata ka mi nimekonda
Mi hukula zenye zimenona (Nona)
Nikipata mboka naomoka (Omoka)
Huwezi nipata kwa corolla (Eey)
Buda always niko working Nyi mnacheza mi niko kazi eey
Shingo ukitembea mtaani Hapa ni ngori maboy wako lucky Eey
Mi niliachana na jaba Mi na mogoka hatupatani eey
Bouty siachani na jani
Hata kama huwezani eey
Ita maboy wa NACADA Vile nawasha hizi vichaka eey
Mi ni boy wa Wakanda Sistuki na stori
Za mboka Mboka mboka eey(Kama ni ngori)
Mapetco, Ndio bani akibonga nalet go Pah pah
Mateso Mabeast wakora wa ghetto Shah shah
Kwa kettle Napika chang'aa ndani ya rental
Ni mapepo
Snitch alibitch akakangwa hadharani kwa esto Mi nimeomoka
Pussy niggas wanapenda kuchocha
Nakumbuka matha akienda kukopa
Hii si riba nilichoka kusota
Fuck them, walibonga mengi Nilipofika baze wakaondoka
Hapa Kenya huku hakuna wera Ka unasaka hela mpaka Doha
Na vile maskele hujipa kwa rende Siku hizi jo mi nimeogopa
Nilibambwa na jenge mangware ju ya tire By jioni nilikuwa nimetoka
Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars
Mi ni donga nyinyi ni marap fans
Simnaona ni nini hardwork does
Toka lini mimi Scar na work fuss Eey aah uuh,
Hivyo ndo nahisi Usidhani kuishi na ego ni rahisi
Hamjastruggle ka dingo wa maiti
Tulianza juzi nyi mlishindwaga naishit
Eeey we can never hype Nikikuona naona kijana you are lied to
No wonder ulihandwa walai ju Even you're dead brothers never like you
I swear this rappers they know us
Tungewazoza ni vile ilifikaga Mahali we needed to grow up
Kwa most of my brothers they locked up

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists