I'm praying kila kitu inanikumbusha kuhusu wewe. I remember kila siku nakumbuka kuhusu wewe Nyote inameremeta nikifikiria kuhusu wewe. Macho yako yanameremeta nikifikiria kuhusu wewe. And I remember rangi ya bahari sauti ya mawimbi twashikana mkononi tukitazama mwezi. Niamini mimi there's no way I'll forget nakukumbuka wewe everyday no regrets niamini mimi there's no way I'll forget nakukumbuka wewe. When I'm praying you there ×2 Nyota inameremeta nikifikiria kuhusu (wewe)×2 Macho yako yanameremeta nikifikiria kuhusu wewe And I remember rangi ya bahari sauti ya mawimbi twashikana mkononi tukitazama mwezi... Niamini mimi there's no way I'll forget nakukumbuka wewe everyday no regrets niamini mimi there's no way I'll forget nakukumbuka wewe. When I'm praying you there ×2 When I'm praying you alway there Nakukumbuka wewe everyday put my hands together close my eyes I pray I see you (when I'm praying you there)×2 When I'm praying you always there Kila kitu inanikumbusha kuhusu wewe ooooo kila siku nakumbuka kuhusu wewe When I'm praying...