Mmmm Mmmmmm Mmmm Mmmmmm Uliniahidi maisha yaliyo na raha Na ukaniahidi maisha bila mashaka Ni nini ilitendeka baada ya ndoa Ni nini ilitendeka baada ya kupa we wana Kila siku mimi nilimuomba Mwenyezi Anipe mume atakaye nienzi Ikawaje vigumu kunipa lako penzi When you promised that I would be your one and only lady (Only lady) Aheri Aheri Aheriga Amanyiga Agombiga Uliniahidi mapenzi unienzi your cherie Na mimi nikakuahidi mapenzi kwenye faraja na dhiki Ni vipi sa sikuelewi, Shida si umasikini daddy Mapenzi pilipili, tena kageuka shubiri Lakini bado nakupenda Sitawahi kuwacha Tufurahie pamoja Hata kama kwa bodaboda Bado nakupenda Sitawahi kuwacha Tufurahie pamoja Hata kama kwa bodaboda Aheri Aheri Aheriga Amanyiga Agombiga Ninakuenzi mpenzi (I cherish you my love) Ninakuenzi my baby (I cherish you my baby) Stay with me and our family Oh I love you My baby I love you my love