Patiently as I walk to you I can trust my cares to you And I'm sure that I will get a breakthrough Coz that is simply what you do Ninapolia nawe unalia pia Ninapocheka nawe unacheka pia Ninapohitaji najua utanipa Ju wewe ndiwe wewe Mamaaaaa Helelehe Mamaaaaa Helelehe Mamaaaaa Helelehe Mamaaaaa Helelehe Wewe ni mama My rock my power Wewe ni mama My knight in shining amour Wewe ni mama My number one protector Wewe ni mama, uuu my propeller Siku moja nitakupatia pia Kamwe wewe hautalia Siku moja nitakujengea nyumba Ile siku nitakua superstar Mamaaaaa Helelehe Mamaaaaa Helelehe Mamaaaaa Helelehe Mamaaaaa Helelehe Mama mama ooh Mama mama ooh Mama mama ooh Nakuamini mama yangu Nakudhamini mama we