Hayeye Haye hayeye Hayeye Nimesota, sina wera Juzi nilikopa nilipe mama mboga Hawajui, hawata amini Juu mi ni mwana mziki Na mambo yangu iko fiti Na huko instagrama Wanadhani nimeosa Sababu waliona Nikikula na Obama Wengi ni mastar Kwa vile wanavyo vaa Lakini utashangaa Vile wanavyokaa Wengi hujifanya Mambo yao yako sawa Lakini utashangaa Ni mengi haya ya dunia Hayeye Haye hayeye Hayeye Chakula githeri chemsha na avocado Na nina deni ya soo mbili ya mama Wambo Sasa nasaka fare anagalau nifike show Lakini jana si nilikua kwa TV Na juzi pia nilikua kwa gazeti Mambo yangu yanafaa kua fiti Huko instagramma Wanadhani niko poa Sababu waliona Ile poster ya Koroga Wengi ni mastar Kwa vile wanavyo vaa Lakini utashangaa Vile wanavyokaa Wengi hujifanya Mambo yao yako sawa Lakini utashangaa Ni mengi haya ya dunia Sio yote yang'aayo ni dhahabu Watu huficha masaibu kwa tabasamu Basi sote tuwe wakarimu Sababu yote yang'aayo si dhahabu Wengi ni mastar Kwa vile wanavyo vaa Lakini utashangaa Vile wanavyokaa Wengi hujifanya Mambo yao yako sawa Lakini utashangaa Ni mengi haya ya dunia Hayeye Haye hayeye Hayeye Haye hayeye Hayeye Haye hayeye Hayeye Haye hayeye Hayeye Uuuuh uuuuh Haye hayeye Hayeye