Every time I think about you I don't know how but you drive me kookoo Maybe it's in the simple things you do You don't know how I'd kill for you to be my boo, you said Funga macho Nishike mkono Sikiza sauti ya yako moyo Na nikafunga macho Nikakushika mkono Na sasa nina hisia zinazonichanganya na Niuradukania Ngwiciria nidiraguruka Niuradukania Ngwiciria nidiraguruka Nidiraguruka Tumekuwa marafiki tangu awali Lakini hisia zangu zabadili Ningependa kukueleza lakini kwa kweli mi sina jinsi Kwani ninahofia vile utakavyohisi What if you don't feel the same way I do Then I'll be stuck here just like a fool Kwani hisia hizi taboo I know I shouldn't be feeling this for you What if you don't feel the same way I do Then I'll be stuck here just like a fool Kwani hisia hizi taboo Niuradukania Ngwiciria nidiraguruka Niuradukania Ngwiciria nidiraguruka Nidiraguruka Ai mwanake Nitapata nguvu za kukueleza Namuomba Mungu na we utanipenda Mimi naamini si tunaweza So baby please nikubali mimi Niuradukania Ngwiciria nidiraguruka Niuradukania Ngwiciria nidiraguruka Nidiraguruka Unanichizisha baba yeh Unanichizisha baba uuh Unanichizisha baba yo yo Unanichizisha baba yeh Unanichizisha baba yo yo