Kishore Kumar Hits

SERRO - Asante lyrics

Artist: SERRO

album: Kuwe


Neema nisiyostahili nimeiona
Upendo uliokamili nimeionja
Huruma iliyokamili nimeiona
Rafiki aliye kamili nimemuona
Nasema asante
Yesu eh
Nasema asante
Yesu eh
Kwa uliotenda
Utakayotenda
Kwa uliotenda

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists