Kishore Kumar Hits

Sholo Mwamba - Ghetto lyrics

Artist: Sholo Mwamba

album: Ghetto


Mesen selekta
Njoo tucheze mwanangu mziki wa singelii
Njoo tucheze we mama mziki wa singelii
Hilii goma tamu tamu hainaga kumbwela
Hilii goma tamu tamu hainaga kumbwela
We na meseni halali anapiga singeli
We mwamba leo silali Mi naimba singelii
Ohh bwana gito halali
Anacheza singelii
Wanangu wanainama
Inuka...
Ilala wanainama
Inuka
Temeke wanainama
Inuka ...
Kinondoni wanainama
Inuka...
Twende
Wee Kama una gheto mwanangu onesha funguo
Wee Kama una gheto We baba onesha funguo
Wee Kama una geto mwanamgu onesha funguo
Wee Kama una geto we mwamba onesha funguo
Weka tena tunamagheto
Tunamagheto
We mwanangu tunamagheto
Tunamagheto
We masela tunamagheto
Tunamagheto
Weka weka gheto langu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists