Wouwo uwooo uwooo uwooo Wouwo uwooo uwooo uwooo Wouwo uwooo mmh Hizi ni sifa za moyo wangu Nazileta kwako we MUNGU Nakuomba ELOHIM We zipokee Hizi ni sifa za moyo wangu Nazileta kwako we MUNGU Nakuomba ELOHIM We zipokee Ulikonitoa BWANA wangu Ni mbali sana Ni mbali sana Sikudhaniwa Na ulinichagua mimi BWANA Na Udhaifu wangu Ulinipenda mimi iih Pasi na sababu uuh Sasa narudisha sifa BWANA Narudisha Sifa BWANA Na heshima aah Uzipokee Tena nanyenyekea kwako we Nanyenyekea kwako we YESU mwokozi Wa Maisha yangu (Ooh narudisha) Narudisha sifa BWANA Narudisha Sifa BWANA Na heshima Uzipokee Tena nanyenyekea kwako we Nanyenyekea kwako we YESU mwokozi Wa Maisha yangu Wamaisha yangu uu BWANA Wouwo uwooo uwooo Wouwo uwooo uwooo Halleluya Halleluya Kwa shangwe nazileta kwa shangwe Kwa shangwe nazileta kwa shangwe Sifa za moyo wangu Bwana zipokee