Kishore Kumar Hits

Mkubwa Na Wanawe - Nikupeti Peti lyrics

Artist: Mkubwa Na Wanawe

album: Nikupeti Peti


Ayayayaya... mkubwa na wanae na wanae
Mkubwa na wanaawe na wanawe
Macho yananiumiza roho
Silali nisipokuona mi naumia roho
Kwenye mapenzi hakunanga commando
Unapokuwa mbali mi nazimiss show hayaayaya
Nibusu nikubusu nikupeti peti chumbani
Kukuacha sithubutu
We wangu halali mwandani
Nibusu nikubusu nikupetipeti chumbani kukuacha sithubutu we ni wangu halali mwandani
Kwenye joto nipepee
Ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby
Tupatacho kidogo afueni
Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni
Niu niue
Mahaba niue
Niu niue
Mahaba niue
Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni
Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni
Woowowowo
Hiki kisiki cha mpingo cha mpingo
Wowowowo
Acha mwenzenu nicheke japo nnapengo
Woowowowo
Hiki kisiki cha mpingo cha mpingo
Wowowo
Acha mwenzenu nikenue japo nna pengo
Wanavyo kupiga majungu
Mwenzako natetemeka
Naogopa wachina wazungu wakaja wakakuteka
Wanavyo kupiga majungu mwenzako natetemeka aa
Wasije wachina wazungu wakaja wakakuteka
Niu niue
Mahaba niue
Niu niue
Mahaba niue
Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani
Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni
Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kufuani
Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni
Waogope walabata wakatuchukua
Kama pesa tutapata
My baby vumilia
Waogope walabata wanakusumbua
Kama mtonyo tutapata nasi tutatumia
Woowowowo hiki kisiki cha mpingo cha mpingo
Woowowo acha mwenzenu nicheke japo nnapengo
Woowowowo hiki kisiki cha mpingo cha mpingo
Wowowo acha mwenzenu nikenue japo nnapengo
End

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists