Kishore Kumar Hits

Mkubwa Na Wanawe - Mpaka Nizikwe lyrics

Artist: Mkubwa Na Wanawe

album: Mpaka Nizikwe


Uwa, uwa, uwa
Uwa, uwa, uwa
Uwa, uwa, uwa moyo wangu mama
Weka debe la karanga na mihogo mibichi mama wewe
Kisha unipame Honda naja kupiga kiki mama we
Nidondoshe na mbata, na pweza wake mchuzi mama we
Tupate toto fulani, liwe fiti kali fiti mama we
Mama nichumu mama (mama, oh, mama, oh)
Waachie walobana (mama, oh, mama, oh)
Hao chanya, sisi chanya (mama, oh, mama, oh)
Hatuwezi kukutana, mpaka milele
Kitandani usishuke zima taa mwaya
Wakikupandisha washushe wasio na haya
Na wala usisumbuke kuwajibu vibaya, ah
Usiamini mwanamke waubuni wewe fire
Wamezaliwa kutusema sisi
Achana nao, hao
Ibada yao kutusema sisi
Wasikuchanganye hao
Tuli-tulizana, kwa marefu na mapana
Sisi twasimama watabaki kuchutama
Tuli-tulizana, kwa marefu na mapana
Sisi twasimama watabaki kuchutama

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists