Wanaosema huwa nachezea na kuacha Hawaijui siri kubwa na maumivu niloyaficha Walimwengu wanakutisha Kila macho ukifikicha Si unajua ugonjwa wangu wa moyo Nikishapenda nimependa Si unajua ugonjwa wangu wa moyo Nikishapenda nimependa Hujanipendea pesa, wala majumba kama ya bwana Almasi Ni kwa neema zake, ni kwa neema zake Yeye Ni kwa neema zake unazidi nipenda kwa kasi Ananiliwaza Kwa mziki mzuri toka Sony Wega Ananikonga Kwao Kasulu ndiko alikofundwa She's supposed to be my wife She's supposed to be happy She's supposed to have my ring She's supposed to have my ring She's supposed to be my wife She's supposed to be happy Hautamani niwe bachelor Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey! Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey! Hautamani niwe bachelor Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey! Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey! Kwanini nitoe michango kila siku wenzangu wanaoana? Kwanini nitoe michango kila siku wenzangu wanaoana? She's supposed to be my wife She's supposed to be happy She's supposed to have my ring She's supposed to have igweni Ananipenda vile sidanandi Ananipenda vile mi sigangi Ananipenda vile sio kinega Ananipenda vile mi sigangi Ananiliwaza Kwa mziki mzuri toka Sony Wega Ananikonga Kwao Kasulu ndiko alikofundwa She's supposed to be my wife She's supposed to be happy She's supposed to have my ring She's supposed to have my ring She's supposed to be my wife She's supposed to be happy Hautamani niwe bachelor Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey! Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey! Hautamani niwe bachelor Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey! Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey! Wanaokupigia mayowe, watakupigia vigeregere Wana gere, watakuwa mstari wa mbele kukuimbia Una meremeta meremeta kama taa Una meremeta meremeta kama taa Kuhuru mwana iyaiyaa kendemu wake Fuhuru mwana iya kendemu wake Hautamani niwe bachelor Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey! Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey! Hautamani niwe bachelor Au niwe na mpenzi mpaka kwa hela Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali, hey! Taratibu mwenzako nina kamba mguuni, hey! Taratibu mwenzako nina kamba mguuni Una mapenzi yenye moto wa kuotea mbali