Kila nikiwa club niko VIP Sitafuti mademu wananitafuta mi Party ka nilikufa nikafufuka Na naswing ka nataka kuanguka (swing) Left right kama uko tungi jingi (swing) Bounce head kama umepigwa singi (swing) Hata kama we ni mfupi kama pimbi (swing, huh) Tunazama kingi All my people love me unconditional Watu wangu wote wapo original Kama nilikufa nikafufuka Na naswing ka nataka kuanguka Swing Swing left, swing right Nakuja na eeh!. Napop ma Bottega Nikija Na hii. Wakuja anapotea Wanao hawachani ka sisi Hamuwezi ku ball na sisi Hamuwezi kuvaa ka sisi Kama wanyama sie simba nyie fisi Na ninavyoswing, mawaki nawapoteza Vile nnavyobang, wagumu wanalegeza Mnapenda masifa mazee Tunakinukisha mazee Tunafurahisha masela Hatutaki misifa tunataka hela Wanatafuta kiki mi nakamua Mablazameni wakiimba wanabana pua Napenda sanaa shpapi watoto wa kishua Ila sipendi wa uswazi wanaojishaua Swing Swing left, swing right Wambie wanao Hatuwezi kuswing na wao Unataka picha wow Unataka picha za kwa mitandao So mi nataka kuswing for now Na niko simple now Mnataka wimbo nmetoka chimbo tandika single now Ngoja nikupe kasiri Juu washapita wawili Na nimepiga mitungi naswing nawaona wawili wawili Simple kali nabadili Sitaki za kwenu batili Bebe flani zimechilli niacheni nipige madili Sa hawa marapa tambu, wanatupa udambu udambu Tunaona bandu bandu si ndo chachandu chandu Tukitoka ka mkuki, tunapiga mashuti Jombaa utaisoma, waliogoma wote mahututi