Wakati wanaulizana nani ataiongoza new school Mi naongoza team za manigga kama buku Wengine wanazuga tu kutafuta umaarafu Na huku kwetu vyuma vimekaza maradufu Bebe zinachinjwa kama kuku Na hazinaga shida sijui nauli sijui luku Niggas wanadhani tunawasema wanajishuku Kesho tunawaona kwenye skendo za utupu Hamna cha kusema zaidi ya, I need this shit more Nataka zaidi ya jana, zaidi ya juzi Mwaka jana, mwaka juzi, mwana flani anayekimbizana na dow They say hawajaniona nikiperform nilikua nasuka bomb Saivi usiombe tukikutana kwa show Na mi ndo naenda represent home, nishadefine zone Niamini i'm putting my money on Naskia Ready or nah!? Kwenye kichwa changu daily naskia ready or nah!? Tv zikiplay ngoma zangu huu ndo muda wangu So utaniskia, ready or nah!?? "Leading new school!?" Why not Yona umefakisha hii safari now jump off the boat Speed zaidi ya usain bolt Nawaacha wanacomplain nyingi ka madereva wa bolt Mtaani wana-recognize the best Ulingoni na walio-inspire afu mchezo unaenda fresh Mi na Moni tour tukitengeneza cash Kwa ngoma ambazo tuliwaimbia tu ma Ex Nine grams kwenye bushjet Naandika maumivu yote kwenye ngoma zangu concentrate Hiyo ndo namna ya kupunguza pain Maana kwa kuongea Ego yangu inaninyima ku-explain But first U better hate but pay respect Student huwezi hii test and no debate God made a golden plate Mxiew watu wasionipenda hawajui matumizi ya hate