Kishore Kumar Hits

Salmin Swaggz - FORGIVE ME lyrics

Artist: Salmin Swaggz

album: FLIGHT MODE


Lord, lord forgive me for my sins, sins
She said, lord see i'm on my knees, knees yeah
She said, lord forgive me for my sins, (forgive me forgive me)
Lord, see i'm on my knees, knees (forgive me forgive me)
Alikua anadate na mwana anachana
Kila weekend anaruka na wana
Ukitaka namba anakupa wasichana
Leo anatubu ashaishi maisha ya laana
Kaskia kuna mwana anamsalandia
Kashalipa watu chupa kama tatu za bia,
Insta anachukiwa na madada ka mia,
Akavuta pumzi kamfata kamwambia
Unajua nini kuhusu mimi
Maisha yangu yanakuchoma na nini
Nimepiga goti sikuaga makini
Nimekata kauli nakoma ulimi
Mungu baba nisamehe, we ndo baba nsipotee
You know i'm your biggest fan
Send them blessings in my way
Naongelea baraka baraka (blessings),
Suti sio malapa malapa (stressing)
Family talaka talaka no, simwagi mchele, Mubaraka (no)
Si tunarusha ile karata, tunabadilisha character
Sio tunapalasa palasa, chuki ni garasha isije nikamata woh
Lord, lord forgive me for my sins, sins
She said, lord see i'm on my knees, knees yeah
She said, lord forgive me for my sins, (forgive me forgive me)
Lord, see i'm on my knees, knees (forgive me forgive me)
Mama told me usicheze na kitu kinaitwa wakati
Wakati wa kusoma niliuchezea na nikawa na haraka ya kupata chapati
Wakati unatoa mimba kumbuka kuwa kuna wenzako hawapati
Wakati wa kujenga maisha mi nilijenga kiki
Kisa kwetu shida nikaacha shule ili nifanye mziki
Saivi ninabaki najiangalia
Nilivyopata huo ustar nikaanza na tabia za kuwavimbia
Nikipita club bebe zote kali kali nazipa offer ya bia
Kula nyama kula Henny kula bata wwambie mimi ndo nalipia
Waambie mnyama mkali ndo anayelipia
Bebe zote kali nikawa nachapa
Pesa mingi kama mwanangu Capo
Maisha ujana bwana sijawahi kua na couple
Nikiona bebe kali Masha, nakaa hapo
Naishi kwa kuungaunga mi sio mwenzako
Nikishapata nyagi naigonga t*ko
Crib usiombe sasa hao mama zako
Napiga mara moja unaondoka zako
Saivi naomba Mungu anisamehe
Na mapepo yote nakemea
Shetani ni mbaya apotee
Nimekosa hata pa kuelekea
Baba Mungu nishike mkono
Nimekukosea sana Oh Lord
Ufuska umefika kikomo
Please forgive me, No More
Lord, lord forgive me for my sins, sins
She said, lord see i'm on my knees, knees yeah
She said, lord forgive me for my sins, (forgive me forgive me)
Lord, see i'm on my knees, knees (forgive me forgive me)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists