Kishore Kumar Hits

Salmin Swaggz - WAUWE lyrics

Artist: Salmin Swaggz

album: FLIGHT MODE


Genius x 66
Napenda unavyo go fast, napenda go slow
Unafanya nafocus, nipate ata kimoko
Maugomvi usibroadcast, itakua chokochoko
Achana na maconscious, wakupitie kushoto
I say you put a body on me
Mtamu kama chocolate
Your figure ka number 8
You got me feeling like I float on a moon yeah
Nikufananishe na nani
Unataka nikupe kitu gani
Usinipandishe maruhani
Are you gonna do it for money
Baby ooh make them jealous oh
Make them jealous
Wasiotupenda wafumbe macho
Wafumbe maa
Baby ooh uwauwe, katika uwauwe
Nipe ma tuwauwe uuuh baby oh uwauwe
Baby ooh uwauwe, katika uwauwe
Inde ma uwauwe nipe kidogo tuwauwe
Kasema anapenda kuniona na black
Ndo mana mabishoo na matoz hawataki
Akicheka ananifanya nastuck
Mtoto kani nakaa natahamaki
Afu sijuagi umenipa nini unanipanda juu
Unani pause, wengine ni blanda tu
Hata kama we ni mchafu nakupamba tu
Hawajui jinsi gani unanibamba boo
I say you put a body on me
Mtamu kama chocolate
Your figure ka number 8
You got me feeling like I float on a moon yeah
Kanichezesha zanku, kibaku baku
Kwa ushakunaku usije ukanidump
Huna mafiga matatu, we la kibantu
Roho yangu chonde usiochezee upatu
Baby ooh make them jealous oh
Make them jealous
Wasiotupenda wafumbe macho
Wafumbe maa
Baby ooh uwauwe, katika uwauwe
Nipe ma tuwauwe uuuh baby oh uwauwe
Baby ooh uwauwe, katika uwauwe
Inde ma uwauwe nipe kidogo tuwauwe
Mtoto totoli, namuita kigoli, nimeformat memory
Jinsi alivyo silali
Baby ooh make them jealous oh
Make them jealous
Wasiotupenda wafumbe macho
Wafumbe maa
Baby ooh uwauwe, katika uwauwe
Nipe ma tuwauwe uuuh baby oh uwauwe
Baby ooh uwauwe, katika uwauwe
Inde ma uwauwe nipe kidogo tuwauwe

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists