Kwanza alinifanya nibadili maisha yangu I need somebody better now Pili akanifanya nisisikilize ndugu zangu I need somebody better now Tatu akanifanya nione dili zote zangu I need somebody better now Nne nikitoka nae anatoka na wanangu, yeah I need somebody better I need somebody better I need somebody better I need somebody better It's crazy what you really think Unataka chumba chote kiwe na pinky pink Nataka ujue what it really means Nishaona vingapi ndani ya skinny jeans Nilitamani nikuache nikasema sina jeans Unatoka na wana, hawaniambii machizi Napambana mpaka nakabwa na jinamizi Unasema naota kina Linah, please I really need somebody else Ukitaka labda si tubaki mabest now Or maybe labda unanitest now I mean, for real vingine unafake now Kwanza alinifanya nibadili maisha yangu I need somebody better now Pili akanifanya nisisikilize ndugu zangu I need somebody better now Tatu akanifanya nione dili zote zangu I need somebody better now Nne nikitoka nae anatoka na wanangu, yeah I need somebody better I need somebody better I need somebody better I need somebody better