Yeah yeah, I don't wanna be with you, no more Listen baby I ain't trynna be crazy Najua unapenda nyumba za masaki na mbezi Najua unataka vingi kwangu zaidi ya mapenzi Kwa maana hata ma-ex wamenizidi unyamwezi Na siwezi kubishana nikaanza makuu tena Hatuwezi kushindana ka ukianza kwa kunisema Maneno yamenishinda umenioverdose Au sababu siku hizi unawindwa na hao matoz Maybe I'm so silly na makosa nimekiri Mashoga zako ni dili ila kama utanifkiria pia Kumbuka hili, mi na we tuko wawili Mark X toleo la pili mwanao mi nimefulia so listen Ola, ola, ooh Kama nakuona unavyonikosa Ola, ola, ooh Mapenzi ya maneno yamenichosha Aka babu wee, aka babu wee Aka babu wee, aka babu wee So naweza sema, penzi lako limefanya niote mizizi Na ukinuna tu unafanya niote kichizi Haya mapenzi ya kifilipino siigizi Mpaka mama anasema umenipa kizizi Kwenye hii zizi Mi nasema hamna Berna, hamna Wema nishafunga sioni tena Na usiniache kwa sababu ya kipato Siku utajua kwamba mi ndo wa ukweli kwako Yeah, I'll be doing everything, yes Sitaki hata kuchat na demu ukanipa kesi Sitaki hata kusimama tu mahali itakua tetesi Ntakuandikia nyimbo kali hata akina Cassper Nyovest watajua tu Ola, ola, ooh Kama nakuona unavyonikosa Ola, ola, ooh Mapenzi ya maneno yamenichosha Aka babu wee, aka babu wee Aka babu wee, aka babu wee Nakumwaga, nakumimina Wacha nivunje mifupa na meno bado ipo Nakumwaga, nakumimina Ola, ola, ooh Kama nakuona unavyonikosa Ola, ola, ooh Mapenzi ya maneno yamenichosha Aka babu wee, aka babu wee Aka babu wee, aka babu wee