Wamemchoza paa Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea Wanauliza siku hizi Roma hauimbi za kiarakati Uku wakisema umunio ndo kumbukumbu ilio baki Ahaaa Eheeee sasa amtaki Mbona amkusapoti Mange na nyinyi mtakuwa wanafki Yani sijui mlikwama wapi Walivunja dole la mwisho Wakaliacha dole la kati Mhmmmmmmmm Ehee hii si nchi ya demokras Mkimaindi basi mnajua Sasa mbona amuwakamati Mhmmmmmm Tuyaache ayo vipi korosho za mtwara Maana wapiga kula wengi wakulima Wafanya biashara Kumnyima mpinza ajenda Mtendee tu yalio mema sio kumpelekea difenda mtaani mtutie vilema Machozi ya watanganyika ayata waacha Salama na damu zilizo mwagika milele zitawaandama Selikari imewapa nafasi wanawake Pongezi zifike, najiona mwenye Bahati nikimtazama wanangu wa kike Akikua atauliza wale walio mteka Nani aliwatu Jibuni mmemzaa mpale ila siwachukii wasukuma Najua atanuna najua ya nyuma yatamtia huruma asilipe kisasi Ashita kwa mungu ataipate suna Na nikiitwa kwa MUNGU baba Nikafa sijamuona mtoto mpeni Shada la msaraba aliweke upande wangu wa kushoto Na mtapo imariza ibada iwe ni padri au paroko Nguo zangu azipigwi mnada mpeni akibino wa moroko Mi ni soja nipo vitani nikipona au nikifa siraha nayo waachia maishani Ibebeni mkomboe Taifa Maana nchi yenu itaangamia Viongozi awana maarifa awataki kukosolewa wanafanya Kazi kwa sifa Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea Yuda usimualibie dani ili ufuraishe mtukufu Sisi sote wanao kwanini unampenda sana Yusufu Yakobo baba pesa madaraka umaarufu ona umewapatia vijana Wanakosa hekima na utu Wapunguzie vifungo wafungwa wasio na hatia Wengine walifata mkumbo kiukweli hawakuwa na nia Nasikia jimbo la ubungo kuna MTU amelipania Roma hizi tungo ni zaidi ya waraka wa waebrania Chama kilisha watimua wanasiasa mlio Wanunua yaani mnapiga Bomu mochuali mnajisifu umeua Tuliombee Taifa tuwaombee viingozi wetu Nchi ina miba sio tuwavishe viatu walioko peku Tusilete uchama kwenye ishu ya kitaifa Uongozi ni kuacha alama chanya na kuwajibika Kuteka kuuwana sio sifa ya mtanganyika Ubora wa ndama ndio unalipa zizi uhakika Hongela baba kwa ukusanyaji wa mapato Kedekede ya kodina flyover ndio izo kanyaga twende Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndege Atafanya yote tumuombee na tuimbe YESU nibebe Watu wametumbuliwa mwezi mmoja kabla ya kustaafu walimu wamesahauliwa Mapato yao mapolisi mishaara yao bado tupige Tafu hospital bolesha tupunguze idadi ya wafu Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea Sijawai kiona mpiga kinanda akitoa sadaka Kamera mani akianguka ndani ya kanisa kwa pepo kaka Sadaka alali ni ile utaitoa kwa uchungu Tafuta pesa we sikuizi ulijali sio ukubwa wa rungu Na nyota mshale uwe bishop segera ukuki na kulenga tokea hale Nenda kalete mamluki kaloge mambo Uko uku Roma anaiteka shoo Kafara unamchinjia kuku mi namchinja anaechinja kondoo Andaa shoo alafu mleteni mkali wenu tafuta Venyu baada ya dakika mbili mje mzike maiti yenu Eti unarap we unarap wewe unarap nini Wanakubeba na auta amini siku wakikupiga chini Sasa we kamatia chini mi nakamatia Ndinga na ukikamatia mpini si utakamatia mimba Alafu kizazi nakuacha unang'aza sharubu kula ganzi mi kisilani na gubu Na elfu mbili na ishirini sisi tumuombe MUNGU Wewe na Mimi na wote wasaka tonge watao rudi vitini Watuepushe na hiki kikombe wasikilizishe yangu maoni Mjengoni wasiishi kinyonge Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea Anaitwa Roma Akuna wa kumstopisha Roma Nani wa kumnyamazisha Roma Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea