Kishore Kumar Hits

Chin Bees - Cynthia lyrics

Artist: Chin Bees

album: Ladha


Eh, Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Eh, Kung-Fu kwenye bed Kung-Fu
Kwenye group la warembo we ndi wangu bu
'Mezunguka kila kona no one like you
Uaridi langu penzi lako perfume
Oh my god, uh baby oh my god
I'm in love, yeah baby I'm in love
We ndio dawa inayonifanya mi nipone
Hata nikiwa nawe daily sichoki hata tone
We ndio dawa inayonifanya mi nipone
Hata nikiwa nawe daily sichoki hata tone
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Eh, kutushusha sio rahisi (eh)
Wanga muangamie (yo)
Baraka katupa Mwenyezi (Mwenyezi)
Kwanini mtuchulie (eh)
Nipe mapenzi ya dhati mpaka wanafiki waumie (waumie)
Nipe mapenzi ya dhati mpaka mwisho watuchunie
Pakavu no utelezi njia yetu sie (yo)
Tena kwa confidence wacha nikung'ang'anie (weh)
Nipe mapenzi ya dhati mpaka wanafiki waumie (we)
Nioe mapenzi ya dhati mpaka mwisho watuchunie
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia
Cynthia, kitandani kama Cynthia
Cynthia, yo yo she is my Cynthia

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists