Muanzaji wa Nzega
Sema Makambo Issa
Ukizaliwa mwanaume, eh ujue kila kitu kwako kitakua ni tabu
Ukizaliwa mwanaume, eh ujue kila kitu kwako kitakua ni tabu
Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu
Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu
(Shabani Madhala)
Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu
Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu
Ndio maana nilipopatwa na maradhi mie
Nililia lia, ooh
Ndio maana nilipopatwa na ajali
Nilijua familia yangu itaathirika, yelelee
Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu
Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu
Ndio maana nilipopatwa na maradhi mie (usilie Jumbe)
Nililia lia, ooh
Ndio maana nilipopatwa na ajali
Nilijua familia yangu itaathirika, yelelee
Wazazi wangu wamezeeka, macho yao ni kwangu
(Meddie, eh) Familia yangu nyumbani, macho yao ni kwangu
(Doc Chen, wapi Roggers?, Tx-Mosha Shabai, dah, acha kulia)
Ukizaliwa mwanaume, (aah) we ujue (we ujue)
Kila kitu kwako kitakua ni tabu
(Aya!) ukizaliwa mwanaume, (aah) we ujue (we ujue)
Kila kitu kwako kitakua ni tabu
♪
Wanaume tumeubwa (aya!) mateso, mateso
Kuangaika
Nilipopatwa na ajali, nililia sana
Majaliwa nisaidie
Wanaume tumeubwa (Waziri Bewa) mateso, mateso
Kuangaika
Nilipopatwa na ajali, nililia sana
Mtumwena nisaidie, eeh
Wanaume tumeubwa, mateso, mateso kuangaika
Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu
Kwa uchungu, lakini katukatu usikate tamaa
Wanaume tumeubwa (Mustafa Nanga) mateso, mateso
Kuangaika
Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu
Kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa
Wanaume tumeubwa (tumeubwa) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeubwa (Nasibu) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeubwa (Mwanagu, eeh) mateso, mateso
Kuangaika
Baba wa familia ni nguzo ya nyumba (Jumbe sikia)
Nguzo imetetereka, nyumba inayumba
Ninateseka hadharani, anaumia Moshi kwa mawazo
Ninateseka hadharani, naumia Jumbe na mawazo
Sijui watoto wangu, watakula nini?
Wanaume tumeubwa mateso, mateso kuangaika
Baba wa familia ni nguzo ya nyumba
Nguzo imetetereka, nyumba inayumba (usilie)
Ninateseka hadharani, anaumia Moshi kwa mawazo
Ninateseka hadharani, naumia Jumbe na mawazo
Sijui watoto wangu, watasoma vipi?
Wanaume tumeubwa (iyee!) mateso, mateso
Kuangaika
Obligado
Mkemia, mkemia
Dokta Kesi
♪
Uwii!
Double D, Jumbe
Ali Rashid
♪
Ali Rashid, mikate ya Zanzibar
Ami, msalimie anko salehe
Mwenda wa Barbee unasikia?
♪
Mabe, Mabe, Mabe, Mabela
Mabe, Mabe, Mabe, Mabela
Mabe, Mabe, Mabe, Mabela
♪
Aah, Salehe Abood Bus Mbeya
Asante sana kwa msaada wako, eeh
Abood Bus inakatia Mbeya
Salehe mzee wa udi, sikia kichwa chenu
♪
Oh, Doc Cheni, nikatie Kigoma
Uwii!
♪
Mabe, Mabe, Mabe, Mabela
Mabe, Mabe, Mabe, Mabela
Mabe, Mabe, Mabe, Mabela
Mzuzuri
Ali Mkomoja
Uwii!
Gero mwana wa Mn'gande
♪
Wanaume tumeumbwa, mateso, mateso kuangaika
Поcмотреть все песни артиста