Kaka yangu ninapokuona, moyo wangu hukupenda sana
Lakini ninashindwa kukueleza yaliyo moyoni
Nimemtuma mdogo wangu, nyumbani kwako
Akueleze mahitaji yangu
Nimemtuma mdogo wangu, nyumbani kwako
Akueleze mahitaji yangu
♪

Oh ooh, nduguyo uliemtuma, alipofika nyumbani kwangu
Hakunikuta
Oh ooh, nduguyo uliemtuma, alipofika nyumbani kwangu
Hakunikuta
Sasa njoo mwenyewe nyumbani (aah)
Ili tuyamalize
Sasa njoo mwenyewe nyumbani (aah)
Ili tuyamalize
♪
Ye-eh-eh-eh-e
Baba, ah
Ye-eh-eh-eh-e
♪
Oh, ooh nduguyo uliemtuma, alipofika nyumbani kwangu
Hakunikuta
Oh, ooh nduguyo uliemtuma, alipofika nyumbani kwangu
Hakunikuta
Sasa njoo mwenyewe nyumbani (aah) ili tuyamalize
Sasa njoo mwenyewe nyumbani (aah) ili tuyamalize
♪
Manase, Manase, mwana wa kisiwani
Dokta Laizer
♪
Mama Magreth Sitta
Mheshimiwa, Samwel Sitta
Vijana wa zamani
♪
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
♪
Yusuph Mwinyi Issa
Athaheri mpo?
Hakimu, Zanzibar
♪
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Njoo, njoo dada tuyamalize
Поcмотреть все песни артиста