Kishore Kumar Hits

Dizasta Vina - Hatia Iv lyrics

Artist: Dizasta Vina

album: The Verteller


JASIRI JOHN... ALIYAANGALIA MAISHA YAKE
HAKUONA JINSI ANGEWEZA KUISHI BILA JANE
MSICHANA ANAYEMPENDA
LICHA YA KUZONGWA NA UMASIKINI
ALIJITAHIDI KUMPA JANE MAHITAJI MADOGOMADOGO KADRI ALIVYOWEZA
LAKINI ALIFAHAMU SHUBIRI YA KUSUBIRI KUPENDWA HUKU ANAFAHAMU KUSUBIRI
KUPENDWA NI MATUMAINI YANAYOUMIZA. KAMA WANAVYOSEMA,
MTAFUTAJI HACHOKI AKICHOKA KASHAPATA... ALIENDELEA KUNGOJA"
Ah! Sikuwa na zali sikuziamini ndumba
Sikuwa na mali za kufuja
Nilijitahidi kuuza mitumba kufuga mipunga
Ili siku nimpe gari nimpe nyumba. Nilishindwa...

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists