Kishore Kumar Hits

Godzilla - Salasala lyrics

Artist: Godzilla

album: Salasala


Ah, yeah, what'sup?
In da house
Yeah, what'sup?
Ah, ah, 'Zila in da house
Oh ('Zila in da)
Chali in da hause
'Zila in house
Welcome to ma hood men
Yeah, what'sup?
Mtaani tunaishi kama maninja
Ukizingua dakika mbili washakunjinja (eh, eh)
Kuna mabrazem pia mapedeshee
Kwenye kona pale stand kuna internet cafe
Ma-hardcore wamejazana usiseme
Allstars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme
Maisha kuwindana sio peace kama heaven
Machizi wanatafutana na ma-AK47
Kuishi kufanyiana sio kuwekeana vitisho
Ni swala la kawaida kusikia milio ya pistol
Uwa namshukuru Mungu kila siku inapokwenda
Na haiwezi kupita siku bila kuibukiwa na defender
Watu wa huku toka zamani wanaroho za kimasta
Kila siku ni skendo nyumba za watu zimepigwa chata
Ma-hustler ndo wanaishi ki-vip
Waliokufa nigga tushawapa R.I.P
Kila siku watu busy kama NYC
Hatuna back kwenye hood kama G-Ally
Salasala nigga is my hood for show
Ni place ambayo sijawahi kuwa before (whatsup?)
Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh)
Karibu kwenye 'Zila kingdom
Hata kama show free (yeah) nita-perfom
West side salasala is the hood that I'm from (whoa)
Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh)
Karibu kwenye 'Zila kingdom
Hata kama show free (yeah) nita-perfom
West side salasala is the hood that I'm from (whoa)
West-side ipo ndani wilaya ya Kino'
Kuna ma-hustler wenye roho mbaya kama walatino
True story men (na) wala sio vitisho
Njoo muone 'Zila anavyo-smoke kwa kiko
Njoo kwa hekima nakupa tahadhari
Kila chochoro ukipita wanacheza kamari
Kuna wakabaji wanapiga ngumi kama bondia
Deal zote utapata mpaka pesa bandia
Kuna wamama madada na masista doo
Ukiwacheki kwa mguu wana Godzilla tattoo
Na mavazi ya kinyamwezi kama tupo majuu
Ukitaka beef mtu mbili it means me and you
Kwa njia za shotcut (what?) Watu wanapata mkwanja
Ukiona wana mabegi ujue ndani yamejaa -
Masela hawaishii kuvuta fegi
Albams zinnaenda sokoni hatuzii tapes kwenye begi (whats'up?)
Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh)
Karibu kwenye 'Zila kingdom
Hata kama show free (yeah) nita-perfom
West side salasala is the hood that I'm from (whoa)
Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh)
Karibu kwenye 'Zila kingdom
Hata kama show free (yeah) nita-perfom
West side salasala is the hood that I'm from
Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh)
Karibu kwenye 'Zila kingdom
Hata kama show free (yeah) nita-perfom
West side salasala is the hood that I'm from (whoa)
Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh)
Karibu kwenye 'Zila kingdom
Hata kama show free (yeah) nita-perfom
West side salasala is the hood that I'm from (whoa)
Warrup? I said, shawty in the house
Lemme, lemme smoke something man
Whats'up? Man I said welcome to my hood
And when I step in, ya'll nigga you better step out
Na-na I'm still not get it, usi-panick
'Zila in the house (whatsup?) Salasala in the house
I'm glad I'm in the house
Whatsup babe? Ndani ya city

Yeah, ha-ha, this is my hood man
Yo, Chali whatsup?

Yeah

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

X

2018 · single

Similar artists