Kwanza pole, kwa mkong'oto Umepata mpenzi mpenzi mbondia Mwenzako uku na pewa mboka nane Na nenepa ndio navyo kwambia Penzi limesha pamba moto Ni magoli tu, nanjishindia Mi na yeye ni mpaka tuzikane Kwa mengine nyuma ya pazia Wewe sindio uliharibu Mapenzi ukanikosea kwa sana Unarudi hasubuhi Mkononi na chupa za savanna ooh mapenzi Yalinitesa mwenzenu bado nikang'ang'ana Sasa hivi nakula shelfu Mi na yeye hatuwezi kugombana Tuna penseza ukitwona, ameniteka mazima Wanaumia wakitwona, na sura za kimaa Si penzi letu limeshona, nimesha zama mazima Alivyo safi kila kona, sipati magonjwa ya zinaa Penzi limesha noga, naenjoy Wakati huku napewa, naenjoy Mama wewe wewe, naenjoy Aah aah aah, naenjoy Oh masauta sauta, naenjoy Anapewa mwenzenu, naenjoy Naenjoy mapenzi, naenjoy Anazuka ma, naenjoy Asubuhi nalishwa sambusa silishwi nafaata Anamambo yakususa susa napewa nikitaka Ndani ya moyo ashapagusa akavuka mipaka Wenye wivu tushawapanguza tuzibe viraka Hadi mwenzako napewa vilaini laini Tatu kasha nisaini saini Mtoto nyama maini maini Ase shoko do do do Wale mashaini shaini Wala tusha wabaini baini Tusha wapiga faini faini Ase shoko do do do Tunapenseza ukitwona, ameniteka mazima Wanaumia wakitwona na sura zao za kimaa Si penzi letu limeshona, nimesha zama mazimaa Alivyo msafi kila kona, sipati magonjwa ya zinaa Penzi limesha noga, naenjoy Wakati huku napewa, naenjoy Oh my babe babe, naenjoy Aah aah aah, naenjoy Oh masauta sauta, naenjoy Anapewa mwenzenu, naenjoy Naenjoy mapenzi, naenjoy Anazuka ma, naenjoy