Kishore Kumar Hits

Lody Music - Kubali lyrics

Artist: Lody Music

album: Kubali


Unalewa nn wakat mwenzako ameshakuacha
Yan akutaki tena
Unampgia nn akaiona namba yako tu yako anakata
Huyo co wako tena
Atausiwaze kulipiza kikasi kwa vijembe vingi huko status
Moyo wake huna nafasi easy, Tena usiwaze kujipiga risasi.
Usijinyonge usijigasi, Kwenye moyo wake huna nafasi easy.
Usilazimishe eeh!
Utazeeka vibaya, Asikulazimishe no nno no
Unaenda mishe mishe, Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa, Kubali kubali
Utampata wako mtapendana kwa dhati, Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali, Aah! Mapenzi yanauma eh
Unayempenda kampenda mwengine, Huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye Kapendwa na mwengine, Moyo sukuma damu sio mashine
Yanakuumiza na pengine, Hauna budi kumpenda mwengine
Mapenzi joto joto usipime, Moyo sukuma damu sio mashine
Penzi kiza kinene kiroho mbaya, Yanatesa tena vibaya
Ukitendwa una retire ah!,
Labda hufikii kina kwenye mapenzini, Ndo maana unaachwa matatani
Hufiki kina mapenzini, Mapenzi.
Usilazimishe eeh!
Utazeeka vibaya, Asikulazimishe no nno no
Unaenda mishe mishe, Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa, Kubali kubali
Utampata wako mtapendana kwa dhati, Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali, Aah! Mapenzi yanauma eh

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists