Kishore Kumar Hits

Z. Anto - Juhudi Za Masela lyrics

Artist: Z. Anto

album: Sauti Ya D.J.


Kama sio juhudi zenu masela
Ningepta wapi msaada mwingine
Kutoka kwa watu wangu wa karibu
Awabariki baba aliye juuu mbinguni
Awatie nguvu na kuwainua ninyi
Naipenda juhudi yenu ya kunipigania
Ahsante sana marafiki wangu wa nguvu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists