Nimpate vipi mi sijui Nina imani mapenzi hayajui Nitapata ugonjwa wa moyo Kwa sababu ya mawazo Ninavyo jua maisha yake Hajawahi kuwa na boyfriend Ila ni mimi wa kwanza Na ninashindwa kumpata Kwa ishara naonekana nampenda Yeye eti mi namzingua Eti kama angilikua anasikia Basi ukweli wangu angeujua Kwa ishara naoneka nampenda Yeye eti mi namzingua Eti kama angelikua anasikia Basi ukweli wangu angeujua Ningemzowea rafiki yake Basi mi ningemtuma Ningezitambua ishara zake Kwake mi ningefika Ningemzowea rafiki yake Basi ningemtuma Ningezitambua ishara zake Kwake mi ningefika Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Sicilia nateseka juu yake (Yeye binti Kiziwi) Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Kichwa kinauma mawazo (Kwake binti kiziwi) Nashangaa pale napomkuta Akiwa na wenzake wanaongea Huwa najiuliza mimi Wanaongea naye vipi Nashangaa pale napomuita Nahisi huwa anakataa Sijui ndio hasikii Au mapozi au mapozi naye Afadhari angejua kusoma Hata hatari ujumbe ningempa Eti kama ningejua ishara Basi kwake ningefika mimi Afadhari angejua kusoma Hata bonge ujumbe ningempa Eti kama ningejua inshara Basi kwake ningefika baby Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Nateseka juu yake (Yeye binti Kiziwi) Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Kichwa kinauma mawazo (Kwake binti kiziwi) Binti kiziwi yuko full Yani yuko bomba Amenidatisha mnyamwezi na yake figa Tatizo moja tu ambalo mimi linanisibu Kila kukicha hata nikiwaza mi sipati jibu Nikimuambia neno i love you (Wala halijui) Nikimuambia neno i need you (Halitambui) Nikimuimbia nyimbo nzuri hata haisikii Pingu nasikitika nikimuona binti kiziwi Nikimuambia neno i love you (Wala halijui) Nikimuambia neno i need you (Halitambui) Nikimuambia nyimbo nzuri hata hasikii Pingu nasikitika nikimuona binti kiziwi Hata kusema neno i love you Kwake halijui Hata kusema neno i need you Kwake halitambui Hata kusema neno i love you Kwake halijui Hata kusema neno i need you Kwake halitambui Baby baby baby baby boo Baby i love you Ingawa nateseka tu naye Baby i need you Baby baby boo Baby i love you Baby tu baby i need you Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Sicilia nateseka juu yake (Yeye binti Kiziwi) Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Kichwa kinauma mawazo (Kwake binti kiziwi) Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Sicilia nateseka juu yake ♪ (Yeye binti Kiziwi) Sicilia ninampenda (Binti kiziwi) Moyo wangu wamtaka (Binti kiziwi) Kichwa kinauma mawazo (Kwake binti kiziwi)