Erse Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi hayajuiiihi Nitapata ugojwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo Ninavyojuwa maisha yake, hajawai kuwa na boyfriend Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni, ningemtumaaaa Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni, ningemtumaaaa Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika Si siri ninampenda binti kiziwi Moyo wangu wamoteka binti kiziwi Si siri nataseka juu yake, ye binti kiziwi Si siri ninampenda binti kiziwi Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii Nashangaa pale nampomkutaaa, akiwa nawenzake wanaongeaaa Huwa najiuliza mimi, wanaongea, naye vipiiii Nashangaa napo muitaa, nahisi huwa anakata Sijui ndio hasiki, au mapozi, au mapozi naye Afadhali angejuae kusomae, hatachale kiumbe ningempa Eti kama ningejuwa isharaaa, basi kwake ningefika mimi Afadhali angejuwa kusomae, hata mbonge kiumbee ningempa Etikama ningejua isharaa, mbasi kwake ningefika baby Si siri ninampenda binti kiziwi Moyo wangu wamoteka binti kiziwi Si siri nataseka juu yake, ye binti kiziwi Si siri ninampenda binti kiziwi Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwi Rap Binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa Amenidatisha mnyamwezi nayake figure Tatizo moja tu ambalo mimi hulinasibu Kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi Nikimwambie neno i need you halitambui Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi Nikimwambie neno i need you halitambui Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui Baby, baby baby, booo, Baby i love you Ingawa nateseka naye, Baby i need you Baby, baby, booo(uhuu), Baby i love you (uhuhu) Baby (tuhuu) baby, I need you (uhu) Repeat till fade