Kishore Kumar Hits

Z. Anto - Kidole Kimoja lyrics

Artist: Z. Anto

album: Sauti Ya D.J.


Kodole kimoja hakivunji chawa
Tushirikiane tupate faida ya sote
Ni nni kati yrtu aijuaye kesho yake
Basi na tujali kilicho chetu tupambane
Hakuna kurudi nyumamapambano
Yanaendelea tena kwa kasi kubwa
Hakuna asiyejua nguvu yetu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists