Siku moja nimelala nikaota kwamba demu ananiita Uzuri wake mfano hakuna Akasema kwamba ananipenda sana, alafu akanachia namba Kiganjani mwangu alafu akapotea Hakusema kwamba anaitwa nani! Hakusema kwamba anatokea wapi! Alichosema yeye eh, siku moja tutaonana Hii kwa ndoto ikakata, nikashtuka, mara simu yangu ikaita Nikapokea nikasika kiss halafu akasema, "Z sikiliza Ujue nakupenda sana, ujue siwezi kukutenda ah Ila naomba utambue mimi ni Jini" hapo akakata simu Anasema ananipenda (ananipenda ah) Anasema hatonitenda (hatonitenda) Anasema ananipenda Jini, Jini ananipenda sana mimi Anasema ananipenda (ananipenda ah) Anasema hawezinitenda (hatonitenda) Anasema ananipenda Jini, Jini ananipenda sana, ah-ah ♪ Anasema ananipenda, bae-baby Anasema hatonitenda, bae-baby Anasema ananipenda, bae-baby, ay Anasema hatonitenda, ye-e-eh Mpaka pete kashanivalisha, ah Aliniya-amini, yeye kwangu amefika Mpaka pete, eh, kashanivalisha, ah Aliniya-mini, mm, yeye kwangu amefika, ah Asa kila saa ananifata Anahitaji jibu mi' kumpa Ukweli kwamba ni mzuri Ila kumjibu, moyo unasita Anasema ananipenda (ananipenda ah) Anasema hatonitenda (hatonitenda) Anasema ananipenda Jini, Jini ananipenda sana mimi Anasema ananipenda (ananipenda ah) Anasema hawezinitenda (hatonitenda) Anasema ananipenda Jini, Jini ananipenda sana, ah-ah Wapo wa baharini na wapo wa ardhini Ili mradi tupo nao twasafiri safarini Siwezi kumtenga huyu Jini anayenipenda Kwani nae ni kiumbe japokuwa anakeka Ana haki ya kupenda kama unavyopenda wewe Wanasema haujatulia, no sitaki nipepewe Kama pete ni'shavishwa nasubiri nyungu safi 'Til one tu kuvusha Mommy nishasikia nikaona bora usingekuwepo Kabla haujaingia geto unavuma upepo Then anani-kiss kwenye shavu mara tatu Pia akitembea huwa hapendi wamuone watu Mara nyingi anavaa vitu vya kung'aa Appointment zetu hapendi tukutane bar Kila saa ananukia huyu Jini malkia Siku mbili namsifia 'til malishi (najifia) ♪ Anasema ananipenda (ananipenda ah) Anasema hatonitenda (hatonitenda) Anasema ananipenda Jini, Jini ananipenda sana mimi Anasema ananipenda (ananipenda ah) Anasema hawezinitenda (hatonitenda) Anasema ananipenda Jini, Jini ananipenda sana, ah-ah