Kishore Kumar Hits

Noel Nderitu - Uinuliwe lyrics

Artist: Noel Nderitu

album: City On A Hill


Mwanzo tena mwisho
Mfalme wa wafalme uko hapa
Uinuliwe
Alpha na Omega
Kimbilio tunakuhitaji
Uinuliwe
Hallelujah Hallelujah
Uinuliwe
Hallelujah Hallelujah
Uinuliwe
Sifa zote (Ah)
Uinuliwe
Sifa zote (Ah)
Uinuliwe
Mwanzo tena mwisho
Mfalme wa wafalme uko hapa
Uinuliwe
Alpha na Omega
Kimbilio tunakuhitaji
Uinuliwe
Yahweh
Hallelujah Hallelujah (Yesu eh)
Uinuliwe (Baba wewe uinuliwe juu)
Hallelujah Hallelujah (Uinuliwe juu)
Uinuliwe
Ni mwenye uwezo (Mwenye uwezo)
Pokea sifa zote (Pokea sifa zote)
Ni mwenye nguvu (Mwenye nguvu)
Asiyeshindwa ni yeye
Ni mwenye uwezo
Pokea sifa zote (Pokea sifa)
Ni mwenye nguvu (Ni mwenye nguvu)
Asiyeshindwa ni yeye (Hallelujah)
Hallelujah Hallelujah
Uinuliwe (Uinuliwe juu)
Hallelujah Hallelujah (Uinuliwe juu, hallelujah)
Uinuliwe
Hallelujah
Uinuliwe Juu (Oh)
Sifa zote (Ah)
Uinuliwe

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists