Kishore Kumar Hits

Noel Nderitu - Mimi Ni Nani lyrics

Artist: Noel Nderitu

album: City On A Hill


Aah
Jina lako
Jina lako
Umenipa utulivu
Sina hofu, unami
I have no fear for you are with me
Sina mwingine ila wewe Baba
Mimi ni nani, wanipenda hivi?
Waniinua juu, n'tasifu jina lako
Mimi ni nani, wanipenda hivi?
Waniinua juu, n'tasifu jina lako
Jina lako (jina lako)
Jina lako (jina lako)
Jina lako (jina lako)
Umenipa utulivu
Sina hofu, unami
The King of kings He'll never leave me
Umeniokoa, mimi mwenye dhambi
Mimi ni nani, wanipenda hivi?
Waniinua juu, n'tasifu jina lako (oh mimi ni nani)
Mimi ni nani, wanipenda hivi? (Waniinua juu)
Waniinua juu, n'tasifu jina lako (mimi ni nani Baba)
Mimi ni nani, wanipenda hivi? (Wewe waniinua)
Waniinua juu, n'tasifu jina lako (hakuna upendo kama wako Baba)
Mimi ni nani, wanipenda hivi?
Waniinua juu, n'tasifu jina lako
Jina lako ni Yesu
Yesu (twasema)
Yesu (tunamsifu)
Yesu (mponyaji Yesu, mfariji Yesu)
Yesu (Yesu)
Mimi ni nani, wanipenda hivi?
Waniinua juu, n'tasifu jina lako (mimi ni nani Baba)
Mimi ni nani (Mfalme wa wafalme), wanipenda hivi? (Jemedari yeah)
Waniinua juu, n'tasifu jina lako (twasifu jina lako)
Mimi ni nani, wanipenda hivi?
Waniinua juu, n'tasifu jina lako
Waniinua juu, n'tasifu jina lako
Waniinua juu, n'tasifu jina lako

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists