My Father's love for me It goes and goes My Father's love for me It overflows I will always be found In the arms of my Father (In the arms of my father) Nishikilie Baba Ninapoogopa Ni wewe tu unanilinda Nishikilie Baba Ninapoogopa Ushindi ni wewe Jehovah Wewe ni Jehovah Nguvu yangu Wewe ni Jehovah Mkombozi wangu Sitapungukiwa (Kiwa kitu) Wewe ni Jehovah Wewe ni Jehovah (Ah) Wewe ni Jehovah Tangu niwe mchanga Hadi sasa sijaona ukituacha Sisi wana wako we Ninapotembea Ni njia zako ninategemea Nishikilie Baba Ninapoogopa Ni wewe tu unanilinda Nishikilie Baba Ninapoogopa Ushindi ni wewe Jehovah Wewe ni Jehovah Nguvu yangu (Eh) Wewe ni Jehovah Mkombozi wangu Na sitapungukiwa (Kiwa kitu) Kwani wewe ni Jehovah Wewe ni Jehovah (Wewe ni) Wewe ni Jehovah Nguvu yangu Baba wewe ni Jehovah Mkombozi wangu Nami sitapungukiwa (Kiwa kitu) Bwana wewe ni Jehovah Wewe ni Jehovah (Oh) Wewe ni Jehovah Mfalme wa wafalme Hakuna aliye kama we Hakuna aliye kama we Wewe ni Jehovah Nguvu yangu Wewe ni Jehovah Mkombozi wangu Na sitapungukiwa (Kiwa kitu) Mfalme wa wafalme wewe Wewe ni Jehovah Jehovah Jehovah