Sikuona ishara, sikuona ishara ya upendo wako Upendo wako we Ndani nilizama, ndani nilizama upendo wako, ulinikanganya Siku zikaja kuwa miezi, miezi ikawa kuwa miaka Lakini bado najipata, ni kama nimetekwa nyara Oh-oh-oh-oh, lakini sasa naelewa Hii ni baraka nilipewa Safari itakuwa njema Oh-oh Upendo kama wako, ni ukweli sio uongo Nishazama ndani ya moto yako Mtandao umepotea Na ndani ya box ndio nimeingia Na sitatoka ndani ya moto wa upendo wako Upendo wako Upendo wako Oh-oh-ooh-ooh-oh-ooh Hata tunapozozana, tunapozozana yeah-yeah-yeah Nimeamua kukazana, amua kukazana nawe Wanasema ni kazi, nimejisajili Na kwenye ripoti, isemekane kuwa tuko wawili Na ndio sasa naelewa Hii ni baraka nilipewa Nyuma hatutarudi tena (Oh-oh-oh-oh) Upendo kama wako, ni ukweli sio uongo Nishazama ndani ya moto yako Mtandao umepotea Na ndani ya box ndio nimeingia Na sitatoka ndani ya moto wako mpenzi (Oh-oh-oh-oh) Upendo kama wako, ni ukweli sio uongo Nishazama ndani ya moto yako Mtandao umepotea Na ndani ya box ndio nimeingia Na sitatoka ndani ya upendo wako Oh-oh-oh-oh-ooh-ooh, upendo wako Upendo wako, wako mpenzi Upendo wako Upendo wako