Eei yeah, hi ngoma ni real (It's tray music) Iwabambe na muskize sana sana sana Afande, eei pita na mwenye anajipa Fanya ile mboga inalipa, VK ni hudoo ujuange Nakupenda nkaseme ni chokora mapipa Niliacha kusuka wasupa niliachia wenye pupa Wale wa kuwakunywa huwezi nikunywa ntavunja hio chupa Kitambo nilishindwa na mbuku, kadaily mangori Zikifanyika chuo mamode ni mimi walishuku Walidhani kijana ni jinga, kumbe kijana ni genius Venye naroga adi mamode watashika hio ngoma vi serious, ju afande ndio senior Mandege ni safi maziwa, mangoto pia umejaziwa Shamba ukishindwa kulima hi ni Kanairo na utalimiwa Hii mchezo sichezi na jersey, ukiringa sikubembelezi Mboka naichapa nipate maganji we buda unakuanga mlazy Wakasema hio kichwa ni mbaya (sana), we VK umetupa kawaya Nikasema nisawa nataka doh, wasupa wamekua mamalaya Skuhizi mapenzi gharama, hawa mangeus wanakuweka kwa fire Sponyo amembeba na harrier, we uko na nduthi na bado umehire Fala amekuja kujoke na mimi, wewe buda sicheki N'bado anataka kuchill na mimi, hio ujinga sitaki Si hatupi githqaa na mtu anataka kushindanga daily kwa hepi Sikuhizi mandume wako na udaku ni kama wamemea majegi Wacha nikuambie siri, Kanyare bado anahubiri Sadaka mnatonga mangiri, hii inaitwa kuchezwa akili Ati utavuna ulichopanda, bengu kapanda ya pili (Kapanda ya pili) Kanidha skuhizi ni base ya kazi wafwasi wanalipia injili Na bado tuko na siasa, wabunge wamehaza vinyasa Manjege wanalipwa na hongo, na media inaonyesha uongo Msanii Kali Omolo, buda amebeba industry Jamoni tuko kwa mgongo, itabaki umetumia ubongo Shakilla anatafta kiki, kuslay na vumbi ya mwiki Kwa live atuonyeshe matiti, remote kwa shimo ya miti Genje kama kawa, king ni Kaka sawa Mi stumi madawa, mangwelo zunipa mabawa Hii ngoma ni real iwabambe, kama unachuki jibambe Sukari ni ya zuchuku silambi, we chapa hio kitu inyambe Hizi simu zinaaribu vichwa turudi m'enzi za kabambe Hio kutu haiwezi kufichwa, mkiwa wawili katambe Eei yeah mkiwa wawili katambe Hio kutu haiwezi kufichwa mkiwa wawili katambe Eei mkiwa wawili katambe Eei yeah yeah hi ngoma ni real iwabambe Yeah ni real ni real Eei yeah ni real ni real,hi ngoma ni real iwabambe NI real ni real, eei yeah wewe