Me ndio raisi wa manzese yule tozi kasanda Manzese mikono juu naiongoza kamanda Wanangu nyongeni ganja msiogope polisi Ila tu msile unga mtapoteza nafasi Me ndio gangster rapper na kiboko ya marapper Wanaleta ushindani mwishoni wanatoka kapa Me natengeneza hela wao wananuka vikwapa Eyo mchovu wape salam kubum kubam Waambie watakufa nao mziki umebadilika Napenda mnavyonidisi wala hamnitishi Walap diamond we si mtoto wa kigoma Mpe salam zitto kabwe mwambie afanye siasa Aachane na bongofleva huku atumtaki kabisa Maneno mengi propaganda hajui kutekeleza Kigoma allstars tayari kawatelekeza Naongea na ridhiwan eyi ridhiwan We si mtoto wa rais ridhiwan Mwambie dingi yako masela hawamuelewi Wamakonde wa mtwara hawataki tena korosho Wanataka gas si mtawauwa kwa mkong'oto Nani rafiki wa Lowasa peleka salam 2015 nataka agombee uraisi Nitamfanyia kampeni wananchi wampe nafasi We nenda wape salamu zao Waambie sina tatizo nao Wakivimba wapasuke Hizi salamu zifike kwao We nenda wape salamu zao Waambie sina tatizo nao Wakivimba wapasuke Hizi salamu zifike kwao (Verse2) Sina beef na polisi Mbunge wala raisi Hizi ni salam tu nataka tuishi peace Mkimaindi amna noma Sio muelewa kula kona Hizi salam toka bongo nataka zifike kenya Uganda hakuna matata najua ngoma inapenya Mambo vipi ccm mnasemaje chadema Cuf bado ngangari au tayari mshabuma Na salamu muhimu ziende kwa watu maalum Nani nimtume kuzimu afikishe salamu Kwa kanumba na ngwair Siku ya misiba yao kuna watu wamepigaa hela Wanamiliki magari wameota na vitambi Kwa hela za rambirambi Kwa majina nawajua mkizingua nawataja Msisitizie Na kanumba Baada ya yeye kufa Na bongo movie imekufa haiuzi kabisa Hizi salamu ziende kwa madam ritha na bongo star search Mshindi analipwa nini mbona kama magumashi Namuona walter chilambo kapigika kama zamani Haji ramadhani kachoka yupo kitaani Milion hamsini zao anazila nani Hacheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani Tanzania bila uchafu kumbe inawezekana Yoo Jakaya mualike tena Obama Japo ujio wake kwa wengine ni lawama Walalahoi wenzangu mishe zao zinakwama Nani nimtume dodoma afikishe salamu bungeni Kuna wabunge vilaza bungeni wao wanalala tu Na wakiamka kila hoja ndio tu Kuna vilaza part two wao matusi na kulumbana tu Mawaziri vivuli wanakazi gani wana maana gani wana faida gani Wabunge viti maalumu wana kazi gani wana faida gani Mbona me sielewi We nenda wape salamu zao Waambie sina tatizo nao Wakivimba wapasuke Hizi salamu zifike kwao We nenda wape salamu zao Waambie sina tatizo nao Wakivimba wapasuke Hizi salamu zifike kwao