Aman lymo what app Sio kwamba mi nina wivu hivyo Ila tatizo kwamba ulileta maringo Ukashindwa geuza shingo Sababu sikuwa na mingle Ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto Ghetto moja local, unadai ilivyo joto Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto,msoto Ukataka toka na vibopa (Masonko) Nikakosa plan B mtoto wa ghetto Ukanifanya mpaka nikaonekana mental Pindi nadanda danda mambo hayajasettle Si ulitaka taka mali Na me enzi hizo sikuwa na hali Ndo sababu haukuenda mbali Na mi rudi na hizo mali Si ulitaka taka mali Ukaniona choka mbaya So ukiniona mimi tena Naomba ukae kae mbali Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo Labda tatizo Naskia stori kibao, mama walo kibao Na wenye hela kibao Sa mbona umeachana nao, hao walionizidi kete Wamekuwacha mpweke tatizo we kicheche Au ladha we umesahau Nilivovisha kete naskia we ulicatch Unataka tu mabeste haiwezekani eeh Hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge Hapana mama siwezi Najua we una moyo pia we una nafsi Ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki We una moyo pia we na nafsi Mahitaji yako sikutimiza kwa wakati Ulitaka taka mali Na me enzi hizo sikuwa na hali Ndo sababu haukuenda mbali Na mi rudi na hizo mali Ulitaka taka mali Ukaniona choka mbaya So ukiniona mimi tena Naomba ukae kae mbali Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo Labda tatizo Mpya... mpya... Ukurasa... mpya Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo Labda tatizo