Kishore Kumar Hits

Barnaba - Ongeza (feat. Lody Music) lyrics

Artist: Barnaba

album: Love Sounds Different


Barnaba ongeza
"""""Yaga
""""""Aieeee
""""""""Lord on this one
Siunaniogesha mara tatu kwa siku
Ukiongeza yote sawa
Unanilisha vipilau na kuku
Ukiongeza yote sawa
Unavonipenda mi napata shauku
Umeniweza yote sawa
Muda mwingine nikipatwa na tamaa
Naziweka kando
Leo wacha tutoke mana,nimepata vibonus huko kazini
Unataka twende wap bhana
Ufukweni ama lunch za hotelin
Yan mapenzi ongeza usikonde
Wasiopenda wacha wanywe vidonge
Penz lako nanenepa kibonge
Sien maneno ohhh ohh
BARNABA
""""CHORUS """"
Penzi letu kibatari kwisha mafuta hatari wanapata namuawoo
Ongeza na makachumbari nyama zizidi wali hatuwez kula nao
Kama ni penzi Ongeza
Kama mahaba pia
Kama ni penzi ongeza
Kama mahaba pia
"""Verse""""
Na na na naaa ehhh
Uwe polisi nature kwa kirungu
Utakalo nakupatia
Tuzidi kuomba mungu
Penzi letu lizidi pepea
Iyo kitu unanipatia mpnz
Ndo nachanganyikiwa laaziz
Si tuwe maziwa mpnz sumu wakitia laaziz
Kwa mapenz unenishika
Jicho chongo nje sionagi kabisa beyb
Moyo wangu uuh krikikiki kwaa
Wanaona donge wanajikwaa
Krikikiki kwaa
Wanaona donge twadundika
Krikikiki kwaa
Wanaona donge twadundika
"""""CHORUS """ the

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists