Kishore Kumar Hits

Marioo - My Life lyrics

Artist: Marioo

album: The Kid You Know (Deluxe Edition)


Wanasemaga nabii akubariki kwao (kwao)
Hatari walikuwepo wakunipa kitaani
Walisemaga wahenga eti mtu kwao (kwao)
Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani
Toka home mpaka studio kwa mguu
Viwalo vipya kutupia skukuu
Nguo mbaya imepauka kuukuu
Kula yangu anaijua alie juu
Mungu akunyimi vyote
Akikupa kilema atakupa na mwendo
Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
Never neve never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up
Ilikua kama movie ila tunaishi kwa love
Wanaotukwamishaga tunaona kama changamoto
Leo imekua kama movie tunaishi kwa love
Tunalipia na kila zaga ujana maji ya moyo
Asante sana kwakunifanya superstar
Leo najulikana kila kona ya mtaa
Asante mama mwanao kipenzi cha watu
Napendwa sana kona zote za mtaa
Mungu akunyimi vyote
Akikupa kilema atakupa na mwendo
Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
Never neve never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up
Never never never
Never give up

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists