Sinywangi mitungi Sivuti mafegi Eti iihhh Silagi mapepe Sina kilevi Chukua gari yangu kagonge kagonge Nitapeleka Kwa fundi Itarudi mpyaa Chukua mali zangu zisombe zisombe Ila Kwa bebi wangu Utarudi kibogoyo Ooh jamani naa viuu Napenda mapenzi Napenda kupendwa Ohh lalila lalaah Hata mkiskia Nimejinyonga Basi Mjue Ye ameninyonga Mkiskia Nimejiua Basi Mjue Ye ameniva Mapenzi Mapenzi Mapenzi Mapenzi Kama mapenzi ni pesa Basi sio shilingi Ya nani Ya nani Kama mapenzi shoo Kali Afu sio kitandani Asa mapenzi ndio nini Na mbona nayapenda Hakuna Raha hakuna Raha Kama kuliliwa na mpenzi Kimapenzi nyie Ooh jamani nina viuuu Napenda mapenzi Napenda kupendwa Ohh lalila lalaah Hata mkiskia Nimejinyonga Basi Mjue Ye ameninyonga Mkiskia Nimejiua Basi Mjue Ye ameniva Mapenzi Mapenzi Mapenzi Mapenzi