Mi amor Te amo Ohh baby mon amor Hakuna mwingine wa kumsikia Kwenye masikio yangu Hakuna mwingine wakumuona Kwenye macho yangu Nibebe nibebe Honey nishushe mahabani Aaah Nigege nigege Mie kwako taabani Heeeeeee mi amor Mmmmh Nikuite jina gani baby honey Mmh Mon amor Eeeeh Mi amor Mmmh Nikuite jina gani mahabuba lazizi Mon amor Ohh mon amor ♪ Kimamba on the beats Mmmh Yeeeah Heeey yeeeah Baby heeey Moyoni ulivyo ni kaa never seen before Unavyo nipa never seen before Wengine wa nini Hooo la la la la la laa Never seen before Tuwe wote mpaka kifo Madunga embe wa nini Hoo la la la la la la laa Kwenye joto nipepee Kwa baridi nikumbate Kwenye mvua nikinge Uwe mwamvuli Nibebe nibebe honey Nishushe mahabani Nigege nigege Mi kwako taabani Eeeeeeeeh Mi amor Nikuite jina gani baby honey Mmh Mon amor Eeeeeh Mi amor Nikuite jina gani mahabuba lazizi Mon amor Oooh mon amor